Thursday, 5 May 2011

WAJUE VIONGOZI WA CCM TAWI LA MAREKANI

Ikiwa hukupata nafasi wa kuwafaham viongozi wa tawi la CCM Marekani, blog hii ambayo ni rasmi kwa taarifa za tawi inakuna nafasi ya kuwafaham.

UONGOZI WA TAWI LA CCM MAREKANI.
Ndg Michael Ndejembi……………… Mwenyekiti.
Ndg Alex Mira………………………Katibu mkuu
Ndg James Shemdoe………………Katibu wa itikadi na uenezi
Ndg Victor Vedasto……………….Katibu wa uchumi na fedha.

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAWI.
Jina                                                               Mji anaotoka.
Catherine Jane……………………………Atlanta Georgia.
Kessy Kaijanate…………………………Atlanta Georgia.
Andrew Sanga…………………………..Houston Texas.
Mgaya Ramadhani……………………Chicago Illinois.
Kenneth kichoro………………………Kansas city Missouri.
Shaib Said………………………........Houston Texas.
Robert Muhale………………………Kansas city Missouri.
Deogratius Rutabana…………….....Kansas city Missouri.
Simeon P. Sungi…………………….Minneapolis Indiana.
Santos Fairoum………………………Minneapolis Indiana.
William Malecela…………………..New York.
Doris Rweyimam…………………New York.
Francis Kuyela…………………….Houston Texas.
Margareth Pambamaji…………….Houston Texas.
Seki Adadi……………………….Houston texas.
Evas Kezirahabi…………………..Dallas Texas.
Rex Lekule……………………….Houston Texas.
Lenny Mangala…………………..Houston Texas.

KAMATI YA SIASA YA TAWI.
Michael Ndejembi………….Mwenyekiti
Alex Maira…………………Katibu mkuu.
James Shemdoe…………..Katibu itikadi na uenezi.
Victor Vedasto…………..Katibu uchumi mipango na fedha.

WAJUMBE:
Andrew Sanga………..Houston.
Catherine Jane………Antlanta.
Shaib Said…………..Houston
Deo Rutabana…..….Kansas Missouri.
William Malecela………New York.
Simeon Sungi…………Minneapolis Indiana.
Santos Fairoum………..Minneapolis Indiana.
Lenny Mangala……….Houston Texas
Louis Fovo…………..Houston Texas.
Rex Lekule……….Houston Texas.


SECRETARIETI YA TAWI.
Alex Maira……………………..Mwenyekiti
James Shemdoe………………..Mjumbe.
Victor Vedasto………………...Mjumbe.
Simeon Sungi…………………Mjumbe.
William Malecela……………..Mjumbe.
Deogratius Rutabana…...……..Mjumbe.

Katibu wa itikadi na uenezi
James Shemdoe.
CCM-Marekani.

Wednesday, 4 May 2011

Sauti yangu itasikika.

Nimefurahishwa sana na maneno ya mwanzo ya blog hii ambayo yananifariji
na kunipa matumaini kwamba sauti ya itasikika.
mimi ni mtanzania niishie nje ya tanzania lakini imekuwa ni vigumu kwa sauti yangu kusikika
kutokana na mambo kadhaa mojawapo ni kutokupewa fursa kama hii, ni imani yangu kwamba
sasa nitasikika kikamilifu.

mwanachama mwenzenu

Iddy