Nimefurahishwa sana na maneno ya mwanzo ya blog hii ambayo yananifariji
na kunipa matumaini kwamba sauti ya itasikika.
mimi ni mtanzania niishie nje ya tanzania lakini imekuwa ni vigumu kwa sauti yangu kusikika
kutokana na mambo kadhaa mojawapo ni kutokupewa fursa kama hii, ni imani yangu kwamba
sasa nitasikika kikamilifu.
mwanachama mwenzenu
Iddy
No comments:
Post a Comment