Wednesday, 28 December 2011

SERIKALI YAMUAGA KING JONG II WA KOREA.

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Dk. Tarezya Huviza akisaini kitabu cha maombolezo kwenye ubalozi wa Korea kufuatia kifo cha rais wa Korea King Jong ii ya kusini mapema mwezi huu.

Wednesday, 7 December 2011

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI JENGO LA GOLDEN JUBILEE TOWER

 Mh. rais akizungumza kwenye uzinduzi wa jengo la Golden Jubilee Tower maarufu kama PSPF
 Mh. Kikwete akipokea zawadi alikuwa akizindua jengo la Golden Jubilee Tower leo jijini Dar es salaam.
 Dr. JK akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi jengo hilo la PSPF



JK akisalimia na mmoja wa wafanyakazi wa PSPF jijini dar leo.

Monday, 5 December 2011

MH. LOWASA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Mh. Lowasa akipata maelekezo toka kwa katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu bw, Peniel Lyimo namna ofisi hiyo inavyoshughulikia maafa mbalimbali hapa nchini. Mh. alitembelea banda hilo leo jijini Dar es salaam ikiwa ni kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.
 Mh. Lowasa akisikiliza kwa makini kabisa maelekezo
Ili kuweza kuelewa vilivyo ilimpasa ku-kaa chini baada ya kusimama kwa muda mrefu.
Waziri mkuu mstaafu Mh. John Malecela akinunua katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotembelea banda la ofisi ya waziri mkuu leo kwenye sherehe za uhuru zinazoendelea jijini Dar es salaam