Monday, 5 December 2011

MH. LOWASA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Mh. Lowasa akipata maelekezo toka kwa katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu bw, Peniel Lyimo namna ofisi hiyo inavyoshughulikia maafa mbalimbali hapa nchini. Mh. alitembelea banda hilo leo jijini Dar es salaam ikiwa ni kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.
 Mh. Lowasa akisikiliza kwa makini kabisa maelekezo
Ili kuweza kuelewa vilivyo ilimpasa ku-kaa chini baada ya kusimama kwa muda mrefu.

No comments: