Thursday, 7 August 2014

MH. RAIS J. M. KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA KWANZA WA WAKUU WA NCHI ZA BARA LA AFRIKA ULIOFANYIKA JIJINI WASHINGTON-DC

 
Viongozi mbalimbali kutoka baadhi ya nchi za Afrika wakishiriki kikamilifu.
 
 
Mh. rais akisalimiana na baadhi ya viongozi wenzake.
 
 
Mh. rais akimsikiliza kwa makini rais wa Afrika ya kusini Mh. Jacob Zuma.
 
 
Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wengine wa Afrika  wakipata picha ya kumbukumbu na mwenyeji wao Rais Barack Obama.

No comments: