Thursday, 14 August 2014

MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA WAANZA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM.



Mgeni rasmi Mh.Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachula na Bw. Hafidh wa Diaspora Zanzibar.



                                     Rais Kikwete akimsalimiana na ofisa wa IOM


Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel.


Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongozana na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative.

 Rais akitembelea mabanda mbalimbali kujionea baadhi ya shughuli ziwahusuzo wana-Diaspora.











Timu ya wafanyakazi wa CRDB BANK ikiongozwa na dada Lucy Naivasha tayari kwa kutoa maelezo kwa Mh. Rais juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo kwa wana Diaspora.








        Mh. waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wawakilishi kutoka CRDB Bank.


            Wawakilishi kutoka KCB-Diaspora Bank wakieleza baadhi ya huduma za kibenki.





                              Ujumbe kutoka PPF wakisalimiana na Mh. Rais









                                                       Banda la OIM

       


























                                 Mh. waziri mkuu akisalimia wajumbe wa mkutano.











         Mama Balozi Maajar na ndugu Mkama wakimsikiliza mgeni rasmi kwa makini.














































                                      Mh. Rais akihutubia mkutano huo.




























                   Bi. Suzan Mzee akielezea kidogo madhumuni ya mkutano.






                                                 Picha za kumbukumbu.




































                                                    Selfies nazo!!






































                                              PICHA KWA HISANI YA IKULU.

No comments: