Wednesday, 6 August 2014

UJUMBE KUTOKA CCM MAKAO MAKUU WAENDELEA KUTOA SEMINA KWENYE MATAWI MBALI MBALI YA CCM NCHINI MAREKANI



Loveness Mwamuya aka Iron Lady muda mfupi kabla ya semina hiyo kuanza.
 

Kada machachali wa CCM bi. Loveness Mwamuya aka IRON LADY akiwa mwenye furaha wakati semina ikiendelea.


Mwenyekiti wa CCM Tawi la Oakland California akiongea machache kabla ya kuanza kwa semina.

No comments: