Wednesday, 13 August 2014

SEMINA ELEKEZI SASA NI ZAMU YA CCM-DMV


Ujumbe kutoka CCM makao makuu unaendelea kutoa semina kwa matawi mbalimbali hapa marekani.Semina hii inalenga kuelimisha makada juu ya utendaji kazi bora wenye kuleta tija na maendeleo kwenye chama na taifa kwa ujumla.
 
 

                                       Mwenyekiti wa tawi akifungua semina hiyo.


                                   Semina ikiwa imepamba moto, mmoja ya wajumbe akichangia mada.


                                  Ndugu Reuben kutoka CCM-Makao makuu akiwasilisha mada.


 
Dada Yasinta akisisitiza jambo.
 
 
Mratibu wa matawi ya CCM Marekani dada Loveness a.k.a Iron lady akishiriki semina hiyo.
 
 
Mwenyekiti wa CCM-DMV Ndg. George Sebo akitoa shukrani kwa niaba ya wanachama wa tawi la DMV.
 
 
Baadhi ya washiriki wakipata picha ya kumbukumbu.
 
 
Kwa kweli ilikua ni siku ya furaha.
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!!

No comments: