Mbunge wa Monduli na Waziri kuu mstaafu Mh. Edward Lowasa akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki pamoja wananchi kwa ujumla waliohudhuria haraambe kwa ajili kuchangisha fedha za ujenzi wa Kanisa katoliki ambalo linatarajiwa kuwa kubwa kuliko lolote katika ukanda wa ziwa Victoria na ujenzi huo utalighalimu kiasi shilingi milioni 700 . Harambe hiyo iliyoongozwa na Mh. lowasa ilifanikiwa kuchangisha kiasi cha shilingi milioni 200 za kitanzania.
Mh. Edward Lowasa akinena jambo na Mjumbe wa Halmashauri kuu mkoa wa Mwanza Mh. Christopher Mwita.
No comments:
Post a Comment